Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Yaani sambusa hizi bado naziangalia
Mwee ningezifukia zote..kwa macho tu zinaonekana tamu.
Yaani sambusa hizi bado naziangalia
Akhsante mkuuDogo upo vizuri, hongera umeweza kuiweka sura mubashara
Yeah!!..Huyo ndo mimi kama unavyoniona mkuuKumbe ulijitupia sura??.
Nilikuwa busy na sambusa za Jael,sikuona
Hahaha...nilishaga kwambia njoo/pande muda/siku uje uchukue dada yangu.Dogo samaki wangu[emoji2369]
Haha...Hatimaye umeniona kama nilivyo Karma[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hatimaye
Mimi ndiyo mkabaji mwandamiziNenda ukakabwe saa hizi [emoji1787]
Hongera kimbaombao mwenzangu[emoji14][emoji3]Yeah!!..Huyo ndo mimi kama unavyoniona mkuu
Karibu
Hahaha.....Hivi kweli mimi kimbaombao eti eeee?[emoji1]Hongera kimbaombao mwenzangu[emoji14][emoji3]
Wewe HB hatari [emoji7]
Karibu, utapenda na juice,chai au maziwa?Yaani sambusa hizi bado naziangalia
Mwee ningezifukia zote..kwa macho tu zinaonekana tamu.
Nipe location basi niwafuate.Hahaha...nilishaga kwambia njoo/pande muda/siku uje uchukue dada yangu.
Samaki wapo ni wewe tu kuwa na utayari wa kuwachukua
Safi sana.
Kule kule pa siku zote mkuu [emoji1]Nipe location basi niwafuate.
Natumia vyote ..nitashushia na juice wakati nasubiri chaiKaribu, utapenda na juice,chai au maziwa?
Yah wewe kimbaombao.Hahaha.....Hivi kweli mimi kimbaombao eti eeee?[emoji1]
Huwa nafurahia sana mwili/wembamba wangu huu mkuu.
Habari za asubuhi mpendwa
Hahaha....Yah wewe kimbaombao.
Huo ndo mzuri,tembea kifua mberee(kwa sauti ya meko)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawa.Natumia vyote ..nitashushia na juice wakati nasubiri chai
ichemke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama kabisa ngosha.Kule kule pa siku zote mkuu [emoji1]
Habari za asubuhi mpendwa