donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Easy Friday....
Mimi siyo mnene ndiyo mkuu[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nakukubali sana, hivi ulisema wewe sio mnene?
Umeona Eeeeeh!!Unakula vitu vyenye kuupa mwili nguvu na ulinzi wa kutosha
Aiseeeeee!!Nafunga hesabu tukutane siku nyingine[emoji871]View attachment 1625680
[emoji126]Aiseeeeee!!
Naam mkuu[emoji143]
Hujambo mkuuNaam mkuu[emoji143]
Iko nusu ndiyo ila inaonyesha kabisa kuwa huyo ni weweUoni mw mwenyewe iko nusu [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goma liko empty hili[emoji126]Iko nusu ndiyo ila inaonyesha kabisa kuwa huyo ni wewe
Uso
Lipsi/mdomo
Nywele
Yaani kiufupi hizo picha zote ulizotupia vipande vipande nikiziunganisha unakamilika wewe linahbaby
Zinasadifu kuwa yaliyomo yamo [emoji1]
Una mpenzi/mme?
Nimwmsii sana kumuona uku japo tunawasilian ila napenda zaid nimuonw jf
Wow!!....naomba kutia nia mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goma liko empty hili[emoji126]
Mkuu utawezana na hawa wajumbe la jimbo ili[emoji5] ?Wow!!....naomba kutia nia mkuu
Maana jimbo nimelielewa sana
Wajumbe ni watu wazuri sana nitawezena nao tu mkuuMkuu utawezana na hawa wajumbe la jimbo ili[emoji5] ?
Japo unawasiliana nae kwa njia ipi mkuu?Nimwmsii sana kumuona uku japo tunawasilian ila napenda zaid nimuonw jf
Hapa uwe na sera kama gwajima [emoji23][emoji23]Wajumbe ni watu wazuri sana nitawezena nao tu mkuu