linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Simu tunapigiana pia tunachat whtsapJapo unawasiliana nae kwa njia ipi mkuu?
Simu tunapigiana pia tunachat whtsapJapo unawasiliana nae kwa njia ipi mkuu?
Na mimi naomba kupigiana simu na kuchati What's App na wewe mkuu.Simu tunapigiana pia tunachat whtsap
Sera zangu hata Gwaji Boy hafiki [emoji1]Hapa uwe na sera kama gwajima [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kweli mkali wa sera hapo tu tyr sera hyo misemo uliyo itumia hapo kama nimeilewa mkuu[emoji6]Sera zangu hata Gwaji Boy hafiki [emoji1]
Huwa namwaga sera nje na ndani tena bila maiki kabisa na wajumbe wananisikia vizuri sana hasa nikiwa juu ya jukwaa
.....Nafunga hesabu tukutane siku nyingine[emoji871]View attachment 1625680
Mmmmmm....sidhani kama itawezekana mkuu.Mapema sana baadae uoge vizuri ukae kwenye makochi kwa utulivu nitajilipua mzima mzima
Naomba ridhaa yako mkuu ili nichukue fomu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kweli mkali wa sera hapo tu tyr sera hyo misemo uliyo itumia hapo kama nimeilewa mkuu[emoji6]
Cute [emoji7][emoji105]View attachment 1625672
Unitag RafikiMapema sana baadae uoge vizuri ukae kwenye makochi kwa utulivu nitajilipua mzima mzima
Kwema mkuuMkuu
Hahahaha, kwema km unavyoona selfie zinatupiwa tuKwema mkuu
Wewe ni wa muhimu sana huwezi kukosekana rafiki yanguUnitag Rafiki
Hahahaha, ya kweli hayaaaWewe ni wa muhimu sana huwezi kukosekana rafiki yangu