Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Mate yametiririka mdomoni sio poaUchachu wake ndiyo utamu wakeView attachment 1625739
Mate yametiririka mdomoni sio poaUchachu wake ndiyo utamu wakeView attachment 1625739
💯👌Hahahaha, ya kweli hayaaa
Mate + mdomoni , ghafla nikakumbuka lips zako hizoMate yametiririka mdomoni sio poa
Kwanini isiwezekane😅😅lazima nilipuke baadaeMmmmmm....sidhani kama itawezekana mkuu.
Anyway!!...wacha nisubirie hiyo mida ujilipue mzima mzima.
Ahsante ,Rafiki tupo pamoja
Mtu chake wewe😅😅😅leo kazima nimung’unye ukwaju sikubali kuyadhulumu mate yangu😅haiwezekani kabisaMate + mdomoni , ghafla nikakumbuka lips zako hizo
Pamoja sana rafiki yanguAhsante ,Rafiki tupo pamoja
Ngoja niwe karibu na kitochi nisipitweKwanini isiwezekanelazima nilipuke baadae
Eeh asee, natamani niwe ukwaju unimung'unye na mate hayoMtu chake weweleo kazima nimung’unye ukwaju sikubali kuyadhulumu mate yangu
haiwezekani kabisa
Na hili ndilo la msingi kabisa.ukae kwa utulivu usipige keleleNgoja niwe karibu na kitochi nisipitwe
Hahahaha, nikishindwa napiga mayowe ,sio keleleNa hili ndilo la msingi kabisa.ukae kwa utulivu usipige kelele
Ndo hivyo tena bahati haijakuwa yako..Eeh asee, natamani niwe ukwaju unimung'unye na mate hayo
😅😅😅😅sio ukunga rafiki yangu!Hahahaha, nikishindwa napiga mayowe ,sio kelele
Haha...Hamo lolo ng'wanike emaga nalindele olipuke(In SHIMBA YA BUYENZE voice)Kwanini isiwezekanelazima nilipuke baadae
Dah, sie wengine kila siku bahati sio yetu, kheri yake ukwajuNdo hivyo tena bahati haijakuwa yako..
Ukwaju utapata raha sana leo
Hahahahasio ukunga rafiki yangu!
Utakuwa na mimbaMate yametiririka mdomoni sio poa

Vizuri sana kama ni kwemaHahahaha, kwema km unavyoona selfie zinatupiwa tu

Hahahaha, mm hapana Mkuu , ni msomaji na mtazamaji tuVizuri sana kama ni kwema
Mtoto linahbaby nimemuelewa hatari na nusu mkuu
Anafaa kwa matumizi ya binadamu
Au nikuweke/nikupigie pande bro?![]()
Kwahiyo ndo umeamua uniseme kilugha na SHIMBA YA BUYENZE sio...Haha...Hamo lolo ng'wanike emaga nalindele olipuke(In SHIMBA YA BUYENZE voice)