Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,173
- 11,240
Si wanalipwa kwani mnakaa bure ndio kazi yao Waite chapHalafu wamepita muda mfupi tu uliopita.
Si wanalipwa kwani mnakaa bure ndio kazi yao Waite chapHalafu wamepita muda mfupi tu uliopita.
Ngoja niwaite tenaSi wanalipwa kwani mnakaa bure ndio kazi yao Waite chap
Dogo kuna mtu hapa unafanana naye hatari.,sijui ndugu yako huyu
Bado wewe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sherehe tena
Watu wanafunga ndoa kila kukicha[emoji3590]View attachment 1625149
Dogo kuna mtu hapa unafanana naye hatari.,sijui ndugu yako huyu
Nilimpiga picha kwa simu ya sister.
Inabidi kuwe na sherehe ya kufungua ndoa pia, siyo poa kabisa..Sherehe tena
Watu wanafunga ndoa kila kukicha[emoji3590]View attachment 1625149
Kweli Tenammh ushaanza [emoji16] emu nitumie PM
Inabidi mpambane humohumoInabidi kuwe na sherehe ya kufungua ndoa pia, siyo poa kabisa..
AminaHapana rafiki kama Yesu
Yu pekee,Yu pekee,
Yeye hawezi kutusahau,
Hata gizani anatulinda,
Hakika,hakika,
Yesu ajua Shida zetu
Aweza kutuokoaView attachment 1625214
Kweli Tena
Ni muuguzi hsp,nilimvizia nikampiga..ila sikutumia simu yangu,nilitumia ya sister,nikishazihamisha nitakuonyesha.
mlipa kodi, mambo vipi mkuu?
Poa dogosawa nasubiri[emoji16]
Poa kiongozi kwema!?mlipa kodi, mambo vipi mkuu?