Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Hahaha hapana mkuu mie siyo wa kishua ila tu napenda sana kusafiri na kutaliiWatoto wakishua lzm mfanye utalii ,sijui mnaita vacation sijui ,dah mie mnikumbuke kwa picha tu
Nikipata pesa kidogo lazima nispend na kwenye kusafiri maana kwa sasa sina majukumu mengi hivyo bora nisafiri sasa kabla sijaanza kuwa na lundo la majukumu


