Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Oohh pole kwa kuuguza
Oohh pole kwa kuuguza
YahHivi kumbe O level umesoma Sangu
Asante.Oohh pole kwa kuuguza
Anha okayYah
Nimesoma shule mbili..
Nilianzia UWATA.
Duh shida nini hasaAsante.
Dogo ananivuruga hatari bado hali tete.
Aisee Basi mama alikupenda una bahati Sana angekuona saiv kumbe mkorofi tu[emoji3][emoji3], Yule mama aliniona namsomesha dgo wa olevel nikakimbia kumbe akaona nimezama EGM akaja akasema huyu mwenzenu nimemkuta anatongoza o level dar CV ilishuka akanipa na bonge la adhabu[emoji23][emoji23]
Yule mama watu walikuwa wanamkimbia Kama nyuki..
Mimi hata akisahau kitu class nampelekea ofisini kwake tunakaa tunapiga stori..sijui alinipendea Nini..
Aliwaambia wazazi wangu wamgawie mimi niwe mwanaye[emoji38],angejua kama mimi hata si mpole kihivyo.
Kipindi nasoma sijawahi kuwa na nywele fupi ila sikuwahi kunyolewa na mkasi.
Huyu dogo yupo kama ana pumu.Duh shida nini hasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atakuwa alikunyosha hatari[emoji1787]Aisee Basi mama alikupenda una bahati Sana angekuona saiv kumbe mkorofi tu[emoji3][emoji3], Yule mama aliniona namsomesha dgo wa olevel nikakimbia kumbe akaona nimezama EGM akaja akasema huyu mwenzenu nimemkuta anatongoza o level dar CV ilishuka akanipa na bonge la adhabu
Kwanini usingempelekela gov , ks si Kama janja janja SanaHuyu dogo yupo kama ana pumu.
Sasa huku na hii baridi,akikohoa tu kidogo anaanza kuchemka.
Kumbe mjanja huku tu ipo siku nitakubamba hom hapo face to face na hivi we ni jirani yangu [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atakuwa alikunyosha hatari[emoji1787]
Na anavyojua kufwatilia[emoji38]
Anavyoongeaga sasa [emoji38][emoji38]
Mimi alinipenda sana aisee hadi nikawa naogopa,hadi kuna siku alikuja kucharaza fimbo darasa zima kwa kelele,alivyoniona akaahirisha.. akasema nimewaacha kwa ajili ya huyu mtoto[emoji38].
Ila mimi mkorofi tu hapa jukwaani maneno mengi..siku ukinisikia naongea hutaamini kama ni Mimi.
Iwe kama amepita huku jf akanigundua[emoji134][emoji86]
Nimetoka naye nyumbani alikuwa poa tu!..sasa nikasema Ngoja nishuke tu hapa ks nisiende maranatha tutibiwe tugeuke,sikubeba hata kitenge maana alikuwa anatembea...Kwanini usingempelekela gov , ks si Kama janja janja Sana
Ni ngumu sana kunibamba [emoji1787][emoji23]Kumbe mjanja huku tu ipo siku nitakubamba hom hapo face to face na hivi we ni jirani yangu [emoji3]
Duuh augue poleHuyu dogo yupo kama ana pumu.
Sasa huku kwetu mbeya na hii baridi,akikohoa tu kidogo anaanza kuchemka.
Hizo Sasa ni aibu ama woga au kiburi au dharau [emoji3][emoji3]Ni ngumu sana kunibamba [emoji1787][emoji23]
Huo ujasiri sina kabisa.
Hata ile ishu tumeongea juzi nawaza nimtume bro au sister[emoji1787][emoji1787]
Ni mtihani sana aisee[emoji38]
Kama kuongea kwa simu tu naogopa sembuse kuongea na mtu live!!
Amen [emoji120]Duuh augue pole
Mungu amfanyie wepesi
Yaani hata sijui[emoji134][emoji86]Hizo Sasa ni aibu ama woga au kiburi au dharau [emoji3][emoji3]
Na jumamosi nipo hapo hamna kumtuma mtu uje mwenyewe [emoji3][emoji3]Yaani hata sijui[emoji134][emoji86]
Yesu wangu [emoji23]Na jumamosi nipo hapo hamna kumtuma mtu uje mwenyewe [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] Sali Sana mungu akupe ujasiriYesu wangu [emoji23]