Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukishangaa ya introverts hujayaona ya Karma. Nimepitia exchange zako hadi nimehisi kukuogopa.. Tukasalini jamani, Mungu ana viumbe wake sio wa kawaida aisee..
Huyu dogo ni mtu poa sana,sijui kwanini imetokea nimemkubali sana hivi

Mimi nimemuelewa vizuri sana..
Tena maisha anayoishi ni mazuri sana kuliko akina sisi tunaojenga imani na matarajio makubwa kwa ndugu marafiki na jamaa mwisho wa siku tunaishia kuumia pale mambo yanapokuwa ndivyo sivyo..

Ila sema kila kitu kina faida na hasara.
Kuna siku hatamuamini mtu ambaye kweli anampenda kwa dhati.. binadamu wote si sawa.
 
Sasa daddy kwani haujui kuwa kwenye kila familia lazima kuna mtoto mmoja ambaye atakuwa tofauti na wenzie! Na mara nyingi huyo mtoto lazima awe hasara!

Hivyo chukulia tu ni hasara kama hasara nyingine unazopata kwenye vitu kama biashara au nini! Huku ukijua unao wengine watatu ambao hawana matatizo yoyote!
Ukikua utaacha.
 

Sasa huo uoga ndiyo ulinifanya nisihitaji kupendwa tena hivyo nilishaacha kuhitaji kupendwa tangu nikiwa yanki
Unavyojikutaga mkubwa sasa
Screenshot_20201107-190517_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom