Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Yes dear 🙂🙂Ni choroko hiyo?
Yes dear 🙂🙂Ni choroko hiyo?
Pouwa..
Nipo Juliana huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo sipati wajukuu kweli dota??
Mbona Mimi nakupenda[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ni kweli daddy kupendwa ni raha sana ila sasa kama mtu hauna nyota ya kupendwa hauwezi kulazimisha
Wazazi tunatamani wajukuu kwa kila mtoto, au hujui?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wajukuu si utawapata hata kwa akina Heaven Sent Saint Anne na Da'Vinci kwani kwa hao hawatakutosha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona Mimi nakupenda
Sasa daddy kwani haujui kuwa kwenye kila familia lazima kuna mtoto mmoja ambaye atakuwa tofauti na wenzie! Na mara nyingi huyo mtoto lazima awe hasara!Wazazi tunatamani wajukuu kwa kila mtoto, au hujui?
Karibu Atown
MjepKaribu Atown
😋😋
Hii si ya kukosa, wahi usicheleweNipo Moshi kwa sasa Mjep..ila kesho nitaibuka A town...kwahiyo unaniahidi nikikupa location nitakula misosi mikali!mjep nakuja pm hii offer wallah siiachi kabisa.🧚♀️🧚♀️😊🥂
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni juu yako ila mie sihitaji unipende na kama nilivyosema huwa siamini mtu akisema ananipenda hivyo utajua mwenyewe
Umri bado haujafika Ndiyo maana..Sasa daddy kwani haujui kuwa kwenye kila familia lazima kuna mtoto mmoja ambaye atakuwa tofauti na wenzie! Na mara nyingi huyo mtoto lazima awe hasara!
Hivyo chukulia tu ni hasara kama hasara nyingine unazopata kwenye vitu kama biashara au nini! Huku ukijua unao wengine watatu ambao hawana matatizo yoyote!
Mimi hata direction ya maisha sina..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wajukuu si utawapata hata kwa akina Heaven Sent Saint Anne na Da'Vinci kwani kwa hao hawatakutosha