Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli kabisa.
Matarajio makubwa yanaleta maumivu tu.
Ni bora uwe hivyo kuliko kuamini sana watu.
Na mimi taratibu nataka nijifunze kuwa hivyo.
Nimeikuta hii mahali
Supporting evidence [emoji16][emoji16]
JamiiForums1837473519.jpg
 
Dah! Dota huenda mimi na mama yako tulikosea katika malezi au niaje? Hutaki kupendwa? Duniani humu kuna kitu kinaleta raha kama kupenda na kupendwa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana baba wewe na mama mlinilea vizuri tu ila dunia ndiyo imenibadilisha wala siwalaumu nyie katika hili
 
Afadhali na wewe umenielewa

Kama unaweza kuwa hivyo nakushauri we kuwa tu hivyo itakusaidia sana na kukufanya uwe na furaha muda mwingi

Kuna watu huwa tunajua kupenda ila hatujui kupendwa na hili ndiyo kwa asilimia kubwa linafanya wengine tuogope kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Kwa sababu mtu akijua unampenda kuliko yeye anavyokupenda atakunyanyasa hadi ujute na ndiyo chanzo cha mahusiano mengi kufa sasa ya nini yote hayo

Unajipa moyo kuwa unapendwa kumbe haupendwi halafu ukijua unaanza kuumia wakati ungelijua hilo mapema wala usingeumia

Moyo wa mtu kichaka
Kweli kabisa

Si kwenye uhusiano wa kimapenzi tu!
Hata urafiki wa kawaida...unamuamini rafiki yaani unamuamini mno na unamchukulia kama rafiki katika mambo yote, sometimes unamuona ndugu yako.
Kumbe mwenzio hakuchukulii hivyo kwa kiwango ulivyomuamini yeye [emoji23][emoji1787]..

Kwahiyo kama ni kumuamini muamini tu ila usiwe na matarajio hayohayo kwamba naye anakuchukulia hivyo.
Hii umenifundisha Leo [emoji120][emoji8]
 
Nimepata somo hapa, tanxieeeh
 
Umenena best tena kwa herufi kubwa lol.
 
Yes exactly wewe umenielewa! Hii dunia ukitaka uishi kwa furaha jifunze kupenda bila kutarajia kupendwa pia yaani jiwekee kwamba you deserve no one's love under the sun!

Ila unajua nini mie nikipendaga watu hata huwa sijali kama watanipenda pia au la na wao kunipenda au kutokunipenda kwao haipunguzi upendo wangu kwao! Mie upendo wangu kwao uko pale pale kwa sababu upendo sicho kitu ninachokitegemea kutoka kwa watu na ukiangalia wao kutokunipenda siyo kosa lao sababu upendo haulazimishwi!

So take that from me but remember hiyo isikufanye uache kupenda watu! We wapende tu kadri ya uwezo wako wote hadi pale upendo wako utakapoishia but never expect anything from them utaumia vibaya mno!

Maana kuna ile hali unajikuta unajisikia tu raha kuwapenda watu fulani haijalishi kama wao wanakupenda au wanakuchukia! Ila kitendo tu cha wewe kuwapenda kinakupa raha isiyo kifani hadi ukikaa unasema daah hawa kweli nawapenda!
 
Shida ni matarajio makubwa kutoka kwao
Ndicho kinachoumiza.

Ila ngoja nijifunze,nawapenda wao wasiponipenda mbele kwa mbele hivyohivyo.[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom