ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,474
- 119,176
Mimi sipendi ku argue na dota, namfahamu. Ila kupendwa dunia hii ndio kila kitu.Anakuzingua trust me, hakuna binadamu asiependa kupendwa.
Mimi sipendi ku argue na dota, namfahamu. Ila kupendwa dunia hii ndio kila kitu.Anakuzingua trust me, hakuna binadamu asiependa kupendwa.
Ngosha samaki wangu!
Ni choroko hiyo?
BTW umeshindaje mpenzi?Mimi sipendi ku argue na dota, namfahamu. Ila kupendwa dunia hii ndio kila kitu.
Kwa mara ya kwanza umepiga picha kabla hujaanza kula.
Kunywa beer...kichwa kitakaa sawa tuu.
Kunywa beer...kichwa kitakaa sawa tuu.
Mimi nilianza mapema kabisa..
Wewe kata beer yaani..Niko nalewa hapa napangua chupa nipo na sita sasa mkuu...
Wewe kata beer yaani..
Sasa hivi naona tupo 1-1


Ume overdose boss hadi ubao kwako unasomeka 1- 1Kkula beer mkuu..Ume overdose boss hadi ubao kwako unasomeka 1- 1
Kkula beer mkuu..
Pouwa..Nashusha hapa baadae nitakuwa kiwanja changu pendwa tips...
Tofautisha kupenda kupendwa na kuwa na matarajio makubwa kwa mtu unaempenda. Inshort hakuna binadamu asopenda kupendwa na ni raha sanaaa kupendwa.
Wewe unapenda kupendwa ila unaogopa kuumizwa na unaempenda ila hakupendi.






Mimi sipendi ku argue na dota, namfahamu. Ila kupendwa dunia hii ndio kila kitu.






Kwa hiyo sipati wajukuu kweli dota??
Ni kweli daddy kupendwa ni raha sana ila sasa kama mtu hauna nyota ya kupendwa hauwezi kulazimisha