Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,265
- 1,306
Mweeeh!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Karibu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1621031
Wadudu gani hawa mkuu..?Karibu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1621031
Hawa ni mchwa kamanda. Watamu sana [emoji39][emoji39][emoji39]Wadudu gani hawa mkuu..?
Dah Trump akishindwa roho itaniuma sanaSasa mpenda mafurushi ndo unampa pole kweli? Hiyo pole si afadhali umpe hata Trump huko kaelemewa itamsaidia?
(Akija hapa sijui itakuwaje. Ngoja nilog off kabisa [emoji16][emoji16][emoji16])
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa hebu tuache makuhani, labda hao wasukuma.Sasa asipokuwa mnyaki huyo atakuwa kabila gani lingine? Hilo na wasukuma ndo makabila yaloshindikana Tanzania.
Mpe pole. Ameshashindwa [emoji16][emoji16][emoji16]Dah Trump akishindwa roho itaniuma sana
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so unbelievably uncoolMpe pole. Ameshashindwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hao mpe Ruttashobolwa
Hapana, mimi ni msukumaHivi na wewe Mtumishi ni Mnyaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kumbe bagheshiHapana, mimi ni msukuma
Eeh..[emoji52]Hawa ni mchwa kamanda. Watamu sana [emoji39][emoji39][emoji39]
Ni kweli kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuongee nini ma mkubwa
Unajua hiyo hali ndiyo inanifanya nakuwa na furaha muda mwingi
Nilifundishwa kuwa too much expectations leads to disappointments
Kumbe bagheshi
Sasa asipokuwa mnyaki huyo atakuwa kabila gani lingine? Hilo na wasukuma ndo makabila yaloshindikana Tanzania.
Afadhali na wewe umenielewaNi kweli kabisa.
Matarajio makubwa yanaleta maumivu tu.
Ni bora uwe hivyo kuliko kuamini sana watu.
Na mimi taratibu nataka nijifunze kuwa hivyo.