Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Nami mniite kwa sababu nami nina langu jambo![]()






Iliyozungushiwa wino mwekundu. Ni kahawa ya kutoka Mbeya kabisa kwa wanyaki huko akina Karma na Saint Anne. Ni kahawa safi sana sawa sawa tu na ya hao Wakolombia na Wakyuba.




Yeah it is just a personal caseOoh sawa mnyaki
Duh!!!Nimeishiwa maneno..tuongee nini ma mkubwa
Unajua hiyo hali ndiyo inanifanya nakuwa na furaha muda mwingi
Nilifundishwa kuwa too much expectations leads to disappointments
Kuna pole zingine huwa zinapotea bure tu![]()




Wapo waliojaribu kunishauri ila imeshindikana!Duh!!!Nimeishiwa maneno..
Sasa mpenda mafurushi ndo unampa pole kweli? Hiyo pole si afadhali umpe hata Trump huko kaelemewa itamsaidia?
Shimba nini lakini


)Sawa sawa mnyakibindi.Iliyozungushiwa wino mwekundu. Ni kahawa ya kutoka Mbeya kabisa kwa wanyaki huko akina Karma na Saint Anne. Ni kahawa safi sana sawa sawa tu na ya hao Wakolombia na Wakyuba.
Sasa asipokuwa mnyaki huyo atakuwa kabila gani lingine? Hilo na wasukuma ndo makabila yaloshindikana Tanzania.Hivi na wewe Mtumishi ni Mnyaki?![]()
Asante jamani.
Pole
We furushi hujalala tu?Kuna pole zingine huwa zinapotea bure tu![]()
Wale wadudu unaokula naona wamehamia kichwani sasa. Tulikuonya lakini.Sasa mpenda mafurushi ndo unampa pole kweli? Hiyo pole si afadhali umpe hata Trump huko kaelemewa itamsaidia?
(Akija hapa sijui itakuwaje. Ngoja nilog off kabisa)
We furushi hujalala tu?
Hivi yuko wapi huyu ndugu yetu?
KaribuWale wadudu unaokula naona wamehamia kichwani sasa. Tulikuonya lakini.



