Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ana jambo lake!!!Kama ni SHIMBA YA BUYENZE basi ujue alikuwa anakujaza tu, ana jambo lake.
Ataanzia wapi sasa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ana jambo lake!!!Kama ni SHIMBA YA BUYENZE basi ujue alikuwa anakujaza tu, ana jambo lake.
@Espy yametimia huku..Nami mniite kwa sababu nami nina langu jambo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@Espy yametimia huku..
Anaanzia hapo hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ana jambo lake!!!
Ataanzia wapi sasa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmhh haya mamaCha kupasha tumbo moto [emoji1][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaanzia hapo hapo.
@Espy yametimia huku..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu kashindikana.
Njooni tupate kahawa huku tukisogoa wapendwa. Thanks for the laughs you "innocent" angels [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Anaanzia hapo hapo.
Hii ndiyo ya cheat day au hiyo bado nisubiri wikendi?
Hapo nzuri ni ipi?Njooni tupate kahawa huku tukisogoa wapendwa. Thanks for the laughs you "innocent" girls [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1620986
Yalikuwa mazuri tu dearMahusiano na wazazi yalikuwaje ukiwa mtoto?
Iliyozungushiwa wino mwekundu. Ni kahawa ya kutoka Mbeya kabisa kwa wanyaki huko akina Karma na Saint Anne. Ni kahawa safi sana sawa sawa tu na ya hao Wakolombia na Wakyuba.Hapo nzuri ni ipi?
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Itapikie kwangu
Yalikuwa mazuri tu dear
Nilimaanisha ukitoa wazazi wangu na ndugu zangu niliozaliwa nao tumbo moja sijawahi kuhitaji kupendwa na mtu mwingine
Hivi na wewe Mtumishi ni Mnyaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ooh sawa mnyaki
We kamanda lewa tu ila usimsingizie Mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mungu siku ya Saba alipumzika View attachment 1620985
😄😄😄 kesho ndio rasmi zaidi ila leo pia nimejitoa mhanga kidogo nikajaza kasahani kangu na nimemaliza chote!!!!Hii ndiyo ya cheat day au hiyo bado nisubiri wikendi?
Shida yako unaweza kupiga vijiko vitatu tu hapo halafu ukagivapu. This proves nothing japo ukiweza kusafisha sahani yote ukasukumizia na yale maembe yako na sharubati angalau kutakuwa na matumaini kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuongee nini ma mkubwa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Itabidi tuongee chemba..
[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]Jiandae kutapika.
Let me reserve my final analysis until tomorrow. Nikiona hiyo rasmi ya kesho ndo nitaona kama kuna matumaini au pengine u- Flaviana Matata hauepukiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1] kesho ndio rasmi zaidi ila leo pia nimejitoa mhanga kidogo nikajaza kasahani kangu na nimemaliza chote!!!!
Badae ndizi moja na maji ya kunywa siku inaisha vizuri. Ukitaka niongeze zaidi ya hapo sasa utakuwa hunitakii mema SHIMBA YA BUYENZE [emoji57][emoji57]