Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibu yangu ya jioni, substitute ya konyagi, hapa mpaka mda huu ningekuwa nimeshawaka kitambo
20201106_180053.jpg
 
Mahusiano na wazazi yalikuwaje ukiwa mtoto?
Yaani niko hivi mtu akinipenda ni yeye mwenyewe ila mie sihitaji kupendwa
Yaani huwa naona mtu anipende au asinipende kwangu mie ni sawa tu

Na hata siku moja huwa siamini mtu akiniambia ananipenda yaani tangu mdogo niko hivyo sijui kwanini
Mie huwa naona kawaida ila kuna watu wengine huniambia hii siyo hali ya kawaida maana eti hakuna mtu asiyehitaji kupendwa
 
Itabidi tuongee chemba..
 
Back
Top Bottom