Pia siku chache baada ya kifo cha mmewe alifiwa na kaka ake dahni kweli,alipofiwa na mumewe alikonda sana,nakumbuka kama nilisoma sehemu amekuwa drug/alcohol abuser
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] We SHIMBA YA BUYENZE njoo huku uone chai ya ndugu yakoChai ya mchana [emoji477][emoji477]View attachment 1620734
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] We SHIMBA YA BUYENZE njoo huku uone chai ya ndugu yako
Weeeee....Labda wengine..Sihitaji kupendwa kama binadamu wengine yaani [emoji17][emoji17] [emoji19][emoji19]
Usijiaminishe sana Dogo.Mie namuona mpole mno ndiyo maana [emoji23][emoji23] [emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]upo vizuri mkuu
Umeona Eeeeeh!![emoji23][emoji23][emoji23]upo vizuri mkuu
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] We SHIMBA YA BUYENZE njoo huku uone chai ya ndugu yako
Nimeamua kukaa kimya tu na kusubiri wikendi. Wikendi nayo ikibuma naona na uzi huu nitahama kabisa. Imagine pengine hii chai ya mchana tayari ndo lunch yenyewe na si ajabu hata breakfast hakula. Mtu unakula brunch ya hivi. Hata ukiambiwa uishi kweli utawezana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karma Usinifanyie hivyo jamani [emoji24][emoji24][emoji24] Shimba is already mad at me [emoji19]
The touch of a loving mother...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]#qualitytime [emoji847][emoji847]View attachment 1620347
Heri kabisa mzeeUmeona Eeeeeh!!
Vipi kwema lakini mkuu
Bhasi vizuri kama ni heri pande hizo mkuuHeri kabisa mzee
Mapapai yana lainisha choo
Kwakweli.Wewe mpole mno mdogo wangu.. Shimba anakuchokoza tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]