Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 978
- 2,311
Weka nyingine rafikithank you
😆😆😆Lizzy jamani Lizzy. Whati izi dis? Yaani kweli tangu mchana umeniahidi kuwa jioni utapiga msosi hasa wa kueleweka large portion (your cheat day) kumbe mbwembwe bado zinaendelea kha!
Ai givapu kwa kweli. Endelea tu sasa kutokula umzidi hata Flaviana Matata ushuke kidogo mpaka kwa yule mama mwimbaji wa Kanada sijui Seline Dioni sijui nani yule niliona picha zake mpaka nikaogopa.
Toto disapointimenti kwa kweli...
View attachment 1619723
Anorexia bongo??? 😆😆😆Duuh ana anorexia nervosa au nini
Halafu nilisikia ana kansa ya koo
Nipo 24/7 labda nikiwa sina MB.We jamaa umepotea sana jukwaa hili
Upo mara nyingi jukwaa la siasa.Nipo 24/7 labda nikiwa sina MB.
Niko poa/salama kabisa kwa matumizi ya binadamu mpendwaMwema
Hofu kwako
Hivi hii kauli yako Ina maana gani?Niko poa/salama kabisa kwa matumizi ya binadamu mpendwa
Akhsante bossTea time, karibuni View attachment 1620127
sawaWeka nyingine rafiki
Akhsante
Sikusoma vizuri maelekezo basi...papara tu...
Embu calm down kidogo ShimbaNimekuambia weekend....na weekend bado haijafika.

Nice
.Akhsante
Ila ongezea kuweka ya yako sasa boss
Njombe kama njombeAudit timeView attachment 1620066