Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Shimbaa matunda nakula sana throughout the day kwahiyo usinimaind sana jamani 😔😔Nimeamua kukaa kimya tu na kusubiri wikendi. Wikendi nayo ikibuma naona na uzi huu nitahama kabisa. Imagine pengine hii chai ya mchana tayari ndo lunch yenyewe na si ajabu hata breakfast hakula. Mtu unakula brunch ya hivi. Hata ukiambiwa uishi kweli utawezana?










