Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,318
Ambavyo amechangamka sasa?? Ila Msukuma huyu[emoji114]Sio wewe, au umesahau wewe ni ndugu yetu wa kambo? Namtafutia msukuma asie furushi kama wewe.
Ambavyo amechangamka sasa?? Ila Msukuma huyu[emoji114]Sio wewe, au umesahau wewe ni ndugu yetu wa kambo? Namtafutia msukuma asie furushi kama wewe.
😀😀 dah watu wana matumizi mabaya na hasira.. Ana akili ya kitoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa jirani yangu,tumekua wote,tumesoma wote ila yeye alikuwa mkubwa kwangu maana alirudia olevel.
Shule walijua sisi ni ndugu wa damu,
Chuo tulienda wote, wazazi wanajua tuna watoto ndugu wanasaidiana huko,mwaka wa kwanza,mwaka wa pili tumeishi poa tu.
Alikuja kuniporomoshea matusi kisa maandamano ya dada wa Taifa
Halafu ubaya wake alikuwa hakawii kulia ukijibu mapigo
Bro T 1990 ELY njoo kuna mtoto wa kishua anatubipu huku [emoji16][emoji16][emoji16]Watu wa Nyakabindi mimi wa nini?
Mpambano wa Musa na akina Mshana Jr wa Misri [emoji16][emoji16][emoji16]Tell a storyView attachment 1619570
Kuwa na huruma japo kidogo mamangu. Pulizi usimsikilize mpenda mafurushiAmbavyo amechangamka sasa?? Ila Msukuma huyu[emoji114]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro T 1990 ELY njoo kuna mtoto wa kishua anatubipu huku [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe!Comment reserved.. nitakujibu mahali.
Mno[emoji3][emoji3] dah watu wana matumizi mabaya na hasira.. Ana akili ya kitoto
One amongst the ten wondrously miracles Moses did before the departure of Israelites from Egypt to the promised Land Caanan.Tell a storyView attachment 1619570
Makiseo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elly haingii hapa... Usimhusishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimecheka.
SHIMBA YA BUYENZEBro T 1990 ELY njoo kuna mtoto wa kishua anatubipu huku [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijui msukuma wa wapi huyu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ambavyo amechangamka sasa?? Ila Msukuma huyu[emoji114]
Asante mwaya...sasa hivi niko kwenye "rait track" ila bado sijaridhika 100%[emoji4][emoji4] Sema unaonekana una mwili mzuri. Kama zile picha zako za juzi beach ulizovaa kigauni ulionekana una kamwili kadogo.
NB: Kwangu mimi mwili mdogo ndiyo mzuri. Hata mimi huwa sijikubali sababu najiona mnene sana na natamani kuwa mwembamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niombe radhi haraka tafadhali.. nakuomba..[emoji57][emoji57][emoji57]
Mimi yule na ule Ushamba wake kweli??????
Mjali tu Shem.. nafurahi sana kuona hivyo.
Kila binadamu anahitaji kupenda na kupendwa.
Daah ningekuwa na mwili kama huo haki ningekuwa nakula hadi kufuru! Ila mimi unene ni asili tu ya kwetu hivyo huwa naambiwa hata nifanyaje sitakaa nipungue kama ninavyotaka bali nitapungua kidogo sana na huwa naambiwa hata nikitaka kupungua kama ninavyotaka mimi nitatisha sitapendeza!Badala ya kunipa pole [emoji849]
Ila hapa nyumbani walishaanza kunipeleka kijeshi,wanasema tukikuacha utakuja kufa njaa.
Sasa waniwekee chakula ole wangu nisile na mimi nilishawagundua ..nawatime kwenye kupakua.. nawahi ili nijiwekee kidogo nitakachomaliza.