Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,819
- 235,991
Badala ya kunipa pole [emoji849]Dah Hongera
Ila hapa nyumbani walishaanza kunipeleka kijeshi,wanasema tukikuacha utakuja kufa njaa.
Sasa waniwekee chakula ole wangu nisile na mimi nilishawagundua ..nawatime kwenye kupakua.. nawahi ili nijiwekee kidogo nitakachomaliza.