Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ugumu wa maisha ndiyo kipimo cha akili
JPEG_20201104_211200_8765156845536883867.jpg
 
Asante mwaya...sasa hivi niko kwenye "rait track" ila bado sijaridhika 100%

Kamwili kadogo kananoga bana....hata kwenye maswala ya nguo unakuwa na option zaidi. Hazikukatai na ukitoka watu hawakushangai Fanya mpango ufikie your ideal body size.
Umeona enh! Kamwili kadogo ndiyo mpango mzima aisee mie lazima nifanye namna nipungue japo watu wananiambia nisipungue nitatisha!
 
Daah ningekuwa na mwili kama huo haki ningekuwa nakula hadi kufuru! Ila mimi unene ni asili tu ya kwetu hivyo huwa naambiwa hata nifanyaje sitakaa nipungue kama ninavyotaka bali nitapungua kidogo sana na huwa naambiwa hata nikitaka kupungua kama ninavyotaka mimi nitatisha sitapendeza!
Kuna yule dada yako unayemfata ana mwili mzuri Sana.

Wewe sasahivi pungua tu hata kidogo,baadaye ukishazaa utakuja kunenepa Sana hadi utakuwa unatisha.
 
Lizzy jamani Lizzy. Whati izi dis? Yaani kweli tangu mchana umeniahidi kuwa jioni utapiga msosi hasa wa kueleweka large portion (your cheat day) kumbe mbwembwe bado zinaendelea kha!

Ai givapu kwa kweli. Endelea tu sasa kutokula umzidi hata Flaviana Matata ushuke kidogo mpaka kwa yule mama mwimbaji wa Kanada sijui Seline Dioni sijui nani yule niliona picha zake mpaka nikaogopa.

Toto disapointimenti kwa kweli...
singer-celine-dion-attends-the-rvdk-ronald-van-der-kemp-news-photo-1098334040-1548864373.jpg
 
Bible knowledge umeiva
Mi kilaza tu,nachanganya mafile sana siku hizi nimekuwa mvivu sana.

Exodus ilikuwa haichoshi.

Kuna vitabu vilikuwa na changamoto ,Judges,Samuel ,Kings ...
Wananukuu tu mstari,maswali yote yanatoka hapo.
Sasa kama wewe hukusoma hiyo verse na hiyo chapter chenga ndo unaenda na maji hivyo..picha inaanza hukumbuki chapter ilikuwa inahusu nini
Kwaujumla old Testament ni tatizo ..
New testament ndo ilikuwa mteremko.
 
Lizzy jamani Lizzy. Whati izi dis? Yaani kweli tangu mchana umeniahidi kuwa jioni utapiga msosi hasa wa kueleweka large portion (your cheat day) kumbe mbwembwe bado zinaendelea kha!

Ai givapu kwa kweli. Endelea tu sasa kutokula umzidi hata Flaviana Matata ushuke kidogo mpaka kwa yule mama mwimbaji wa Kanada sijui Seline Dioni sijui nani yule niliona picha zake mpaka nikaogopa.

Toto disapointimenti kwa kweli...
View attachment 1619723
Duuh ana anorexia nervosa au nini
Halafu nilisikia ana kansa ya koo
 
Back
Top Bottom