Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha'..!!
Kioo hakidanganyi kweli wewe kibonge nwenzangu.!!
Hivi Depal wewe ni wa kunilaghai niendelee kukula chips kumbe mwenzangu model.!!

you're so sweet mumie.!! Hongera sana!!
😂😂😂 yaani unataka kuniambia huo ubonge huuoni?! Sisi vibonge wazito inabidi tuongeze juhudi katika 🍝🍜



Hongera kwa kuwa kibonge 😍😍
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani unataka kuniambia huo ubonge huuoni?! Sisi vibonge wazito inabidi tuongeze juhudi katika [emoji492][emoji501]



Hongera kwa kuwa kibonge [emoji7][emoji7]
Nashangaa hajaona Kama wewe Ni kibonge[emoji1751]
 
Back
Top Bottom