Mbona hujaniomba au kisa mbaya?![]()
dada, kama una No za Muumbaji naomba nimpigie nimuulize kweli kipimo cha udongo kilikuwa robo, ama alizidisha bila kukusudia!!
Nadhamini pambanoInatakiwa 30,000 tunaweka full.
Aah wapi muda mzuri saa nane usikuwale wa kujilipua huu ndio muda mzuri aisee watu wameenda kula
Halafu wewe hata nywele hujatupiaItakuwa hawana hela maana wengi wanafuatilia huu uzi ila ndo hivyo pesa hamuna.. Dada angeweka
Hahaha!!Anatulaghai tuendelee kufukia chipsi![]()
Hahahaha sijasema uwe kimodel upungue kama kilo 7-10 Halafu unipe mrejeshoNapenda kula pia napenda kupika, kushindia kabeji diet ilinishida.
kapeace tafadhali sana unahitajika kituoni mara 1..Na ya wakala inbox mshana...
View attachment 1221594
Hahahaha sijasema uwe kimodel upungue kama kilo 7-10 Halafu unipe mrejesho
Na ya wakala inbox mshana...
View attachment 1221594
Na ileeeee sijaisahauBado dakika 11
Bado dakika 11
kama jana enh?Aah wapi muda mzuri saa nane usiku
Nadhamini pambano
Sawa dear nitafanya hivyo na nitakurudia unione.