mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
Hahahaha zooom tu
Haya haya
Nazoomm kifua
Haya haya
Nazoomm kifua
Nawashangaa Hawa hawajui kuangalia vizuriAminini zote ni zangu sema nimepigwa wakati tofauti na simu tofauti kuna nyingine hapo 2016,2018 na 2019
Shukuru kwa kila jambo,Shangazi zangu wana mamizigo ila mi walinipaga kamzigo kadogo ndo shida inayonikumba mpaka sasa
Safi KabisaEeh mkuu
Fundi wetu Mshana kashafanya yake mumie, na tunalicheza singeli lake hasa.!!Uzi unatembea kwa speed ya drimulaina
Yeezy boosts on your feet?!
Wewe haina haja ya kukuomba urafiki..Hahahahah unapenda marafiki wazuri wazuri tu mbona mi hujaniomba urafiki?

wajua kwanini

Haya mkuuHahahaha zooom tu
👀👀❤️❤️❤️❤️Mchana mwema jamani.View attachment 1221474
Hahahahahahahah naona mmetekwaaa aseee limbwata mpaka jf???Fundi wetu Mshana kashafanya yake mumie, na tunalicheza singeli lake hasa.!!
Basi gani hilo mkuu??
Hivi Kuna picha imekupita wewe,?
Jamani jamani jamani dah!!
Shabiby hiyoBasi gani hilo mkuu??
😆😆😆Tangu huu Uzi uanze sijafungua Uzi mwingine wowote! Maana ukizubaa tu utakuta picha zishafutwa🤦🏽♂️Hii thread inanifanya nijisahau kama niko single ama la, imenifanya nisahau kama nina shida ndogo ndogo za hapa na pale, inanifanya nifanye kazi za watu haraka ili niwahi tu humu ndani, inanisaidia kukimbiza muda kama vile sahii hata sijui mchana umefikaje, nimeshasahu kama JF kuna thread nyingine, jamaaaani.!!
thread inatibu chunusi, harara na kupunguza uchibonge.!! Heko Mshana Jr kwa tunguli zako walaqhi limbwata limetuingia.!!
Mimi najua hauwezi post hapa ..tukamalize Basi kule pm mamaaHahahahahahahah naona mmetekwaaa aseee limbwata mpaka jf???



wapenzi wa akina nyie 'ize tumanuva' tupo wajameni msitufanyie hivyoVimodel tunajishtukia tunaona bora tufute tu