Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ingine usipande usafiri mwambie dereva unashuka unatembea utamkuta juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo barabara sipiti Tena Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa sijawahi pita aisee Ni hatari Sana.
Dereva awe mzuri..barabara imening'inia mlimani
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mbona tuna jituma sana 6*6 mikunjo yote, style zote, utundu mwingi mpaka mwili unachemka mkitoka hapo mpo hoi hata kutembea mnashindwa,[emoji38][emoji38][emoji38] hiyo ishu nasikiaga sana na najua ipo ila bado ni ngumu kumeza [emoji851]
Ila na nyie muwe mnawapa wapa wapenzi wenu mahaba heavy wasiwe wanadanganyika na vitu vidogo vidogo. Jifunzeni kufanya foot rub na massage, massage kidogo wawe wana-enjoy every now and then.
Umelipata wapi sokoni[emoji13][emoji13], au umepanda mti nyumbaniYah ni matunda adimu sana kama hauna mti wake si rahisi kuyala .
Juice [emoji3047] ya pera nitamu banahYah ni matunda adimu sana kama hauna mti wake si rahisi kuyala .
Naona umerudi kwenye id yako pendwaLeo unakana tena
Nimeshazoea misosi yako yaani mpaka nakaa nasubiria kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Breakfast/Lunch/Dinner ....zero appetite [emoji3061][emoji3061]
View attachment 1618715
Kuna mti hapa ninapoishi .Umelipata wapi sokoni[emoji13][emoji13], au umepanda mti nyumbani
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yako alikuwa ananichokoza.
Yah tamu mnoJuice [emoji3047] ya pera nitamu banah
Ni mwenyewe umechora mkuu?Ball pen drawingView attachment 1618796
Itabidi uchume mengine unitumie kidogo [emoji13][emoji13][emoji13]Kuna mti hapa ninapoishi .
Njia yote ipo hivyoSiku ingine usipande usafiri mwambie dereva unashuka unatembea utamkuta juu
Mkuu umekua addicted vilivyo,That moment you can't decide what to watch [emoji849][emoji849]View attachment 1618878View attachment 1618880
[emoji84][emoji84][emoji84][emoji84][emoji84]Karibuni wapendwa. Protini pyua hii [emoji39][emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1618879
Haya ngoja yakue kidogo maana mti wenyewe mchanga .Itabidi uchume mengine unitumie kidogo [emoji13][emoji13][emoji13]
Huyu ndugu alikutana na kisiki FURRY TYSON naona hakuamini kilichomkuta, natamani warudiane kwa mara ya tatu[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 1618877
Kule jukwaa la siasa huwaga unatetea chama gani vile [emoji848][emoji848]Lini nilikuwa mwanachama?
Ngoja nakucheki PM unitumie movie kali zote ulizoangalia na mimi nianze kuwa mlevi kidogo , nina movie 20 kwa simu nimezimaliza nimebaki kuzirudia tuMkuu sinywi pombe,sipendi mpira,Sijurushi viwanja. It's only movie.. kwakweli nishakua addicted vibaya mno.. Nataka nitafute sub nitoke huku maana loh