Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Hakika umependeza mno..ujua kupangilia nguo mzee😘😘😘vyote leo vimesimama kinouma👌👌👌.
Shirt la leo ni kizuri sana kuliko hata lile la mwanzo👌👌👌👌
Hakika umependeza mno..ujua kupangilia nguo mzee😘😘😘vyote leo vimesimama kinouma👌👌👌.
Unaakili mbaya jirani ujue😁😁Unajisikiaje jirani![]()
😘😘Black is beauty
Asantee bestie 😊😊 ivo ivo kidogo kidogo tunajaribu... si unajua tena umaridadi huficha umaskini 😁Hakika umependeza mno..ujua kupangilia nguo mzee😘😘😘vyote leo vimesimama kinouma👌👌👌.
Shirt la leo ni kizuri sana kuliko hata lile la mwanzo👌👌👌👌
Karibu MkuuNipe namimi
Mimi kwenye daladala sikuwepo mkuuKumbe hujui kuna mdada alimwambia dogo mmoja kwenye daladala kuwa unavyonipapasa hunisisimui nakuona upo kama mimi tu

I guess hapo ndo watu tunapotofautiana
Mf. Kwangu mimi massage ya spa/salon itanifanya ni-relax lakini haiwezi kunipa hisia hizo unazozizungumzia. Yani kwa ufupi ni kwamba kushikwa mkono tu na mtu nnaemuelewa ni much more effective kuliko full body massage from a stranger.
Lizy kama lizy sawa mama la mama, lakini hawa vijana wa kucha wanatembelea nyota sana ni noma wanakunja sana dada zetuMbeya na milima yake nimekumiss mdogo wa mimi
Ahsante sana mkuu ubarikiwe mkuuKaribu Mkuu
Nawe piaAhsante sana mkuu ubarikiwe mkuu
Umenikumbusha mbali sana na hilo tundaNawe pia
Ooh kumbe , umekumbuka Nini hapoUmenikumbusha mbali sana na hilo tunda
Milima hii inatia sana uvivu halafu inafurahisha,Mbeya na milima yake nimekumiss mdogo wa mimi
Tunda kama tunda sijayala muda mrefu,Ooh kumbe , umekumbuka Nini hapo
Mazoezi hayo acha uogaMilima hii inatia sana uvivu halafu inafurahisha,
Yaani mnapoenda ni Karibu ila mnajikuta mnauzunguka tu milima.
Kama hapo tulitumia saa nzima tunazunguka tu hapohapo hizo kona.



Mazoezi hayo acha uoga![]()








Bado tu mnalialia??Twende kwenye jukwaa la siasa ukajibu mashtaka kwa nini umeipigia kura CCM ambayo safari hii badala ya kuiba kura imelawiti uchaguzi




Ziko wapi kura feki??Sasa kama Lissu alikuwa hawezi kushinda zile sandarusi za kura fake pamoja na viroba vya kura fake ambavyo CCM ilikamatwa navyo vilitoka wapi?
😆😆😆 hiyo ishu nasikiaga sana na najua ipo ila bado ni ngumu kumeza 🤓![]()
![]()
![]()
Lizy kama lizy sawa mama la mama, lakini hawa vijana wa kucha wanatembelea nyota sana ni noma wanakunja sana dada zetu