T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
KarmaOohh leo nilizama fasi ya coco beach ndiyo nimemalizia weekend yangu pale
Wacha we!!![emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] sasa unahisi anaweza kuwa na nani mwingine zaidi yako eti
Kwani ulipost haiba?Heaven Sent [emoji8][emoji8][emoji8]
Heaven SentKwani ulipost haiba?
Ahaaaa 🙂🙂Oohh leo nilizama fasi ya coco beach ndiyo nimemalizia weekend yangu pale
Hi Ely 🖐🖐
Ooh!!..ni jammbo jema sana kama anaendelea vizuri.Hi Ely [emoji870][emoji870]
Mgonjwa anaendelea vizuri sana , thanks for asking.[emoji847] Kesho anaenda shule tuone kama siku itaenda vizuri au lah [emoji1696][emoji1696]
Na hata milele
Amina
Hujambo mkuu
Niko poa na salama kwa matumizi ya binadamuAlhamdullilah; sijui wewe
Una mabalaa wewe😃
ChakoriiUna mabalaa wewe[emoji2]
Sijui ili fungua ndoa na ugali...
Naomba unipeleke na mimi siku mojaUnunio....Dynasty beach. Pazuri kweli 🙂🙂
Hujambo mkuu
MjepNaomba unipeleke na mimi siku moja
Ndio ndio.Kwani ulipost haiba?