Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,386
[emoji23][emoji23][emoji23]Bondeni ushuani kule pale social enzi hizo tulikua tunapaita frontpage , miaka hio chuo ndio kinaanza palikua pabaya hatari social
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwakweli udom sio pa kurudi, Sasa hivi ni kutafuta hela tu elimu inakutoshaWao wanadhani mchezo..Mimi nilimwambia Bora nikalime kuliko kusoma Tena sasahivi [emoji1787]..tena kusoma hapohapo eti ananiambia Soma vitu mchanganyiko uwe na uwanja mpana nikamwambia a wapi niacheni jamani[emoji23]msije kunitoa roho bure mwenzenu
Mimi kozi niliyosoma ilitaka kuniua[emoji23][emoji23][emoji23]mtu hadi unazeekea hapohapo Cha!
Yaani tofauti na watu wengi wanavyopachukulia...waliopo sasahivi wanajua mziki wake..yaani hadi kuna madogo mwaka huu walikuwa wanalia kwanini walikuja[emoji1787][emoji1787]sasa dogo anaanza kulia 1st year[emoji23][emoji23]
Nasubiri picha ujue
Hongera sanaNimepambana nayo mkuu Ila namshukuru mungu nimemaintain nidhamu ya fedha mnoo ndio maana angalau nimefika sehemu panasomeka atleast
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nitakutafuta unifundishe[emoji4]Thanks mkuu your welcome fursa zipo ni kujitoa na nidhamu basiii
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Unamkono Mzuri natamani uje unipigishe chaputa
Ok poa mkuu,mim nipo hapa postaNiko mjini muda si mrefu nitakuwa maeneo ya oasis pale Mkuu...
Weka tumboNaweka vipande vipande..vikikamilika mniumbe.kesho nitaweka tumbo na nywele πView attachment 1602066
Ok sawa mkuu,mim najiandaa kuingia evening shift ,saa 8,,ntakuchekiNipo downtown sasa...
Ukipeleka mahindi au unga? Ulitumia vibali gani chief maana mimi na hustle nipeleke nje hii bidhaaOk sawa tutaona inakuaje kipindi Fulani nilipeleka na hii scania 124 trip moja Sudan ilikua super profit Ila kwa Sasa masuala ya usalama hayako sawa hasa dafur nkaogopa wahuni wasije choma chuma tukaanza na upya
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Funga mkandamwenye pesa ya mahali na cheti Cha form six PCB ( zote awe na A ) dogo yupo hapa[emoji2]View attachment 1602267
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
RIPNdugu zang watoto wawili wamefariki kwa Ajari ya maji Mafuriko Haya ya juzi View attachment 1602660
Boi from Msata kilingeniView attachment 1605982