Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuombea.
Leo mwalimu alisema tuombee kwanza mahitaji ya watu kabla hatujajiombea sisi.

Semina ilikuwa nzuri japo nilifika kwa kuchelewa kidogo nikakuta ameanza
Mvua pia ilitaka kutusumbua ila ilitulia.
Asante mkuu kwa maombi maana Kuna neno Fulani mwakasege alisema vijana tunakazana tu kutafuta fedha tunasahau kuanzisha familia zetu ambazo ni baraka Mara dufu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Baada kuona nakaa koromije simu sipatikani mtandaoni sionekani.

Ukapoteza hope.

Ukasahau maana ya cake uliyoikata.

Where there is cake, there is hope!
Jamani sasa kukaa koromije ndiyo unizimie simu? Why babe why? au ulimpata mkoromije mwenzio huko eeh ukanisahau kabisa?. Amekubwanga ndiyo unarudi, sawa haina shida nakupokea tena darling 🤪😍
 
Back
Top Bottom