Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata kama umeunganisha mkuu hakuna gogoro. Wanaume wa mikoani kawaida yetu hiyo. Ungekuwa mwanaume wa Dar pengine ndiyo tungeshangaa kidogo
Dah nimecheka sana mkuu interval ilikua ndogo Sana Kama masaa mawili siunajua mkoani njaa inauma uma bila mipangilio na misosi ya kumwaga tu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom