Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibu
JPEG_20201003_190118_1789433533406921137.jpg
 
Aiseee unachelewa mnoooo wambie wazee walete bill ya mahali nilipe

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wazee wenyewe wananiona mdogo wananilea kitoto
Kwanza mwenyewe najionaga mdogo mtoto wa mama Mimi

Halafu niondoke kwa mama mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mma ndakulonda pikusoka pakaja
 
Wazee wenyewe wananiona mdogo wananilea kitoto
Kwanza mwenyewe najionaga mdogo mtoto wa mama Mimi

Halafu niondoke kwa mama mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee Kama umefika 22-27 usisite Sana wazaz hawana Cha kupoteza hapo ni ndoa tu,, nitakuja uyole kutoa mahali [emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee Kama umefika 22-27 usisite Sana wazaz hawana Cha kupoteza hapo ni ndoa tu,, nitakuja uyole kutoa mahali [emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hiyo age nishaivuka kitambo
Nipo kwenye 30's[emoji1787]
Nifanyeje sasa kama wananilea hivi,hadi kutoka tu home ni kasheshe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wananisindikiza[emoji1787]
 
Hao wazazi wakatae aisee kimbia chap huo umri the sun is faded

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wanafanya kwa nia njema.
Niliwahi kupata ajali,kwahiyo nikienda sehemu nikachelewa wanapata mashaka.(Hilo la kunisindikiza nimeongezea tu)
Ila huwa wanajaribu kufwatilia kama Niko salama.

Mbona umri mdogo kabisa huo[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
33 -35 michache Sana ati
 
Back
Top Bottom