Sina hela ya kukupa 😁😁
Umeona eeKwamba mkanda wa suruali upo wazi jamaa kashiba tumbo likaongezeka
Hahahaha.......Sina hela ya kukupa![]()
Nimetimiza mkuu.....
Kiatu kizuri sana😘😘naimani usiku wako wa leo utakuwa mzuri 😉😉
Nipo Mkuu Gallius jukwaa la Siasa nimehama kabisa mpaka uchaguzi uisheJamaa mambo vipi
Asante mpenzi 😘😘Kiatu kizuri sana😘😘naimani usiku wako wa leo utakuwa mzuri 😉😉
Amen.kwa mtu makini aki angalia hicho kiatu atajua Zanzibar leo mambo niAsante mpenzi 😘😘
Umeshaanza kuwa mzuri kwakweli 🙏🙏
Nipo Mkuu Gallius jukwaa la Siasa nimehama kabisa mpaka uchaguzi uishe
vipi wewe nilidhani umegombea hata Udiwani huko mtaani maana hukuonekana kabisa
hii picha ya mgambo nilitaka kuiupload ikagoma naona ni mafuriko hapa JF mtandao mzito
View attachment 1602335

Nakuona,nakuona kwenye kioo

Mwana mpotevu wa Uzi huuAiseee![]()
Champ! Upo poa aiseeNdio nagombea kata moja wapo hapa mjini. Karibu weekend hii mahali fulani tupate kilaji kidogo...
Nimemiss kashikashi zako katika baadhi za nyuzi kamanda![]()
😆😆😆 hicho kioo ni zaidi ya filter 🤣Nakuona,nakuona kwenye kioo![]()
Ha ha filter kiasi tuu, hapo macho yangu yanaona kila kitu itoshe kusema wewe ni mrembo, mtamaduni mpenda asili, na una dreadlocks...nimekosea?hicho kioo ni zaidi ya filter
![]()