Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,836
- 57,458
Kesho nipitie twende wote, Mimi pia nina hamu ya kupokea upako wakeAende wapi baba kipenzi Cha watu![]()
Kesho nipitie twende wote, Mimi pia nina hamu ya kupokea upako wakeAende wapi baba kipenzi Cha watu![]()
Halafu kuna watu walikuwa wanamtukana humuNa ni msomi mzuri tu nadhani udsm alisomea Sheria to be honest Mimi ndio namkubali ana utulivu Fulani wa kipekee katika uhubiri wake hawa wengine wengine huaga nashindwa kuwaelewa wamekaa Kama wapiga dili
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
,lakini nikakumbuka hata Yesu mwenyewe aliteswa,alisemwa.
DuhIpo juu

Karibu sana mkuu.Kesho nipitie twende wote, Mimi pia nina hamu ya kupokea upako wake
Sehem aliyokuwa anafafanya mikutano yake palkua ni jirani na shuleni kwetuAende wapi baba kipenzi Cha watu![]()
Ningekuwa mkazi wa Arusha nadhani ningekuwa naenda kumsikiliza kila sikuSehem aliyokuwa anafafanya mikutano yake palkua ni jirani na shuleni kwetu
Kuna flash Ina mahubir yake Fulani naiweka Sasa hivi inisindikize njia nzima ndio natoka mkuu now sijabaja hosp back to stone townHalafu kuna watu walikuwa wanamtukana humu
Nilitamani niwameze,lakini nikakumbuka hata Yesu mwenyewe aliteswa,alisemwa.
Kwanza ninachomsifu kitu kimoja,hajajikoroga kwenye siasa.
Yaani kutoka ndani ya Moyo wangu nampenda huyu baba jamani mwee![]()
Ndiyo usiache kunipitia best, nataka nijenge mazingira ili siku nikileta posa kwenu wasikatae kwa kuwa tutakuwa ni wapendwa katika Imani🙊Karibu sana mkuu.
Mungu atujaalie neema na kesho pia tusogee pale sido.
DuhKuna flash Ina mahubir yake Fulani naiweka Sasa hivi inisindikize njia nzima ndio natoka mkuu now sijabaja hosp back to stone town
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Sio kila siku kwa mwaka ni week moja ndhaniNingekuwa mkazi wa Arusha nadhani ningekuwa naenda kumsikiliza kila siku
Ndiyo usiache kunipitia best, nataka nijenge mazingira ili siku nikileta posa kwenu wasikatae kwa kuwa tutakuwa ni wapendwa katika Imani![]()




Lakini anaishi hukoSio kila siku kwa mwaka ni week moja ndhani
Usiku hamna kurupushani barabarani halafu asubuhi kesho Kuna kazi zetu zile za kubeba guniaDuh
Kwanini usiondoke tu kesho !?!
Usiku huu bi mkubwa kakuruhusu uende??
Okay usafiri salama boss

Nyumba ni Msingi dear, hapo naenda kujenga mazingira tu ili msiniwekee vikwazo wazee wakileta posa yangu kwenu🙈
Kwahiyo wewe unaenda kusikiliza Neno au unaenda kujenga mazingira?
AiseeUsiku hamna kurupushani barabarani halafu asubuhi kesho Kuna kazi zetu zile za kubeba gunia
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app

Nyumba ni Msingi dear, hapo naenda kujenga mazingira tu ili msiniwekee vikwazo wazee wakileta posa yangu kwenu![]()




Mama pia kakataa nimeforce tu nilikuja na rafiki yangu so atleast kaona tutapokezana Ila nae kasema sitalala mpaka mfike upendo wa wamama yaan acha tu hua naimagine siku mama hayupo ninavodeka sijui itakuajeAisee
Angekuwa mama yangu husafiri usiku
Na ukilazimisha kusafiri utamtesa tu maana hatalala hadi wewe umefika
Ona sasa unavyomtesa mama.Mama pia kakataa nimeforce tu nilikuja na rafiki yangu so atleast kaona tutapokezana Ila nae kasema sitalala mpaka mfike upendo wa wamama yaan acha tu hua naimagine siku mama hayupo ninavodeka sijui itakuaje
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app

Unaweza kusikiliza kwa njia ya radio my dearSafari hii amechelewa kuja Dar sijajua kwa sababu ya kampeni zinazoendelea, mimi namsubiri Dar