Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,264
- 95,542
Naweka muda huu,amka uitazameWeka picha mtu chake
Naweka muda huu,amka uitazameWeka picha mtu chake
Mbona Nimeamka siioni rafiki yanguNaweka muda huu,amka uitazame
Kumbe ukiwa na tumbo dogo inafanya hips kuwa kubwa! Sikuwa nafaham..Ni tumbo tu linanibeba..nina tumbo dogo mno..linafanya nionekane nina hips kumbe sina
Vinginevyo[emoji1787][emoji1787]mimi ni mwembamba Sana.
Naomba uzitoe pls[emoji4]
[emoji23][emoji23]Kumbe ukiwa na tumbo dogo inafanya hips kuwa kubwa! Sikuwa nafaham..View attachment 1601669
Nimesahau tu kumwambia Kama asikilize kwa njia ya radioUnaweza kusikiliza kwa njia ya radio my dear
Mtende kama uko dar fungulia 98.1 wapo radio 📻 au 107.7 upendo radio 📻.kwanzia saa kumi kamili jioniNimesahau tu kumwambia Kama asikilize kwa njia ya radio
Thanks Saint Anne, blessed to you mamiiNimesahau tu kumwambia Kama asikilize kwa njia ya radio
Amen sisyThanks Saint Anne, blessed to you mamii
Amen girlfriend.Oooh asante sana best, this is very useful kwa kweli. Ubarikiwe Chakorii
Yaani huto tumagimbi ndio twa kwenda kunyanyulia mahindi??Kabla ya kubeba gunia [emoji2]View attachment 1601834
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nilitaka kukuza ubishi juu ya uhalisia wa figure yako na unavoisingizia kamera ila nikaona sio issue nikafuta[emoji23][emoji23]
Halafu Kuna posts mbili uliniquote ukafuta,uliandika nini??