Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nishafeli mwee,, kesho itabidi nije kwa wajina wangu anipige maombi anisaidie na kutafuta mchumba maaana Kuna Uzi wanasema bila kuoa eti wanaume hatujakamilika [emoji2][emoji2]

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Na Mimi niliuchangia ule uzi

Ohoo kumbe waitwa Christopher[emoji2960], Jina la shemeji yangu mlezi hilo[emoji7]

Kesho sogea pale maana hujui siku wala saa atakayoombea wanaotaka ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawahi uchaguzi
IMG_20201015_214842.jpg
 
Na Mimi niliuchangia ule uzi

Ohoo kumbe waitwa Christopher[emoji2960], Jina la shemeji yangu mlezi hilo[emoji7]

Kesho sogea pale maana hujui siku wala saa atakayoombea wanaotaka ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuja kumsalimu bmkubwa uyole hapa ntamkosa wajina na soon nageuka zangu ir, mkuu utanifikishia maombi kwa niaba namuamini Sana Yule mshua nadhani nitajibiwa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuja kumsalimu bmkubwa uyole hapa ntamkosa wajina na soon nageuka zangu ir, mkuu utanifikishia maombi kwa niaba namuamini Sana Yule mshua nadhani nitajibiwa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Oh nitayapeleka maombi yako kwa imani.
Yule baba nampenda mimi jamani..ooh hata mvua inilowanishe vipi lazima niende,anatema madini hadi mtu unachanganyikiwa..
Baba anaichambua Biblia hadi mtu unashangaa unasema Yes[emoji4]
MUNGU ana watu wazuri mno[emoji119]
 
Na ni msomi mzuri tu nadhani udsm alisomea Sheria to be honest Mimi ndio namkubali ana utulivu Fulani wa kipekee katika uhubiri wake hawa wengine wengine huaga nashindwa kuwaelewa wamekaa Kama wapiga dili [emoji3]

Back
Top Bottom