BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,628
- 19,810
Hii miguu mingine ingewekwa tu kwenye nembo ya Taifa.. Bibie una miguu mizuri
Hii miguu mingine ingewekwa tu kwenye nembo ya Taifa.. Bibie una miguu mizuri
Hapa watakuelewa tuu.Na pombe waache mara moja!Wakazi wa Mbeya
Hii Si ya kukosaView attachment 1601073
Anne asante kwa hii taarifa ngoja nisikilize.Wakazi wa Mbeya
Hii Si ya kukosaView attachment 1601073
Safari hii amechelewa kuja Dar sijajua kwa sababu ya kampeni zinazoendelea, mimi namsubiri DarWakazi wa Mbeya
Hii Si ya kukosaView attachment 1601073
Mimi nina bahati kama ya Mtende ,nipo hapa Mbeya!Safari hii amechelewa kuja Dar sijajua kwa sababu ya kampeni zinazoendelea, mimi namsubiri Dar
Niache pombe?Basi unitumie audio za mahubiri, tena uokoke maana siku za mwisho zimefika



Sijui, hebu nenda mkutanoni usikilize mahubiri, halafu nafsi ikikutuma kuacha pombe achaNiache pombe?![]()
Hata huku ana siku chache Sana.Safari hii amechelewa kuja Dar sijajua kwa sababu ya kampeni zinazoendelea, mimi namsubiri Dar
Oh sawa mamaAnne asante kwa hii taarifa ngoja nisikilize.
Kama hutojali Anne ikatokea akafanya semina,tafadhali naomba unijuze.asante sana![]()

Yeah huwa anafanya wiki nzima, nadhani ratiba za uchaguzi zinambanaHata huku ana siku chache Sana.
Yaani ameanza Leo halafu anamaliza tar 18,tofauti na miaka ya nyuma alikuwa anapiga karibia wiki nzima
Itakuwa hivyo,niliumia Sana nilivyoona ana siku 4 tuYeah huwa anafanya wiki nzima, nadhani ratiba za uchaguzi zinambana


Ni yeye😍
