Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Asante mpenzi. Kubandika nimewaachia wataalam 🙃🙃Umependeza sana na hizo short nailz
Asante mpenzi. Kubandika nimewaachia wataalam 🙃🙃Umependeza sana na hizo short nailz
😘😘😘😘safi sana.makucha marefu huwa hayaubariki moyo wangu kabisa hata sijuagi kwaniniAsante mpenzi. Kubandika nimewaachia wataalam 🙃🙃
Sasa ujisahaulishe.😃sibanduki atiiUsibanduke
Safi sana na 🤝🤝umependeza hakikaNilikua nakusuburia muhakiki wangu 🤝🏾
Ugali utakuja kukuua bageshi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Halafu ni vizuri ukajikaza kama mwanaume, halafu chunga sana usije ukaharibu watoto mtaani, maana ni kifungo cha maisha hicho, shauri zakoHeeeeeh hatimaye leo umeweka, uwiiiiiih [emoji4][emoji4]
Mbona hiyo picha kali tu!Nje ya keyboard za JF ila ukiwa JF ni kupost picha kali!View attachment 1597034
Naona likichwa limejaa baada ya kudanganywa una mikono mizur'PRO' majani tee 🤓🤓🤓View attachment 1599012
I suppose so 😏😏😏Naona likichwa limejaa baada ya kudanganywa una mikono mizur
Anaenda mbele kama anarudi nyuma!Mbona hiyo picha kali tu!
Kwani ina Shida gani?
[emoji57]Anaenda mbele kama anarudi nyuma!
Mdogo wangu si ulinikataza nisiwe naweka ya kwangu lakini?![emoji57]
Wekeni za kwenu na nyie
[emoji57]Mdogo wangu si ulinikataza nisiwe naweka ya kwangu lakini?!
Huwa unaongea kama wale Taliban wenye siasa/imani kali![emoji57]
Kuponda watu utadhani mliwaumba nyinyi