Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,496
- 235,189
We nae kila siku kujichanganya tuSiyo kweli. Ninaweza kukuthubitishia hilo, ila wewe huwezi kuonyesha hili unalo dai.
We nae kila siku kujichanganya tuSiyo kweli. Ninaweza kukuthubitishia hilo, ila wewe huwezi kuonyesha hili unalo dai.
Ngoja nikuonyeshe sasa, nilipo andika "Kamari Haramu" ulitakiwa ujue ya kuwa sibet sababu kubet ni kamari na kamari ni haramu. Sasa nionyeshe wewe wapi sikujibu swali ambalo hujauliza ?We naye kila siku kujichanganya tu
Leo mnafungwa. Mkishinda nidai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Niambie kabisa nikudai kitu gani?kabla sijascreenshot huu ujumbe na kumtumia mwanasheria wangu
Wapi hapa? Watu mnakula maisha dah! Huku kijijini Misungwi kukavuuu hata raha hakuna [emoji51][emoji51]
Hata mimi. Nategeshea yake na yako. Siku ile ukaweka ya Simba upo uwanja wa taifa nikazoom mpaka TECNO yangu ikapata moto lakini sikuona kitu.
Siyo vizuri hivyo [emoji36][emoji36][emoji36][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hujambo mama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1511356
Sanaaa...uwiii..
We mtoto bangi 😆😆😆Dah[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Najiona nimeyapatia maisha sana
Najiona mwamba ng'ong'ona hadi bondeni nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mimi zangu ni nyingi sana lakini?Hata mimi. Nategeshea yake na yako. Siku ile ukaweka ya Simba upo uwanja wa taifa nikazoom mpaka TECNO yangu ikapata moto lakini sikuona kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mtoto bangi [emoji38][emoji38][emoji38]
Wouzaaa
bado wewe tuWouzaaa
Mkwepu kama Mkwepu..
Hatimaye leo umeamua kuonekana 😜
Heeeeeh hatimaye leo umeweka, uwiiiiiih [emoji4][emoji4]