Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,482
Naomba lift rafiki
Naomba lift rafiki
Karibu mkuuNaomba lift rafiki
Vichungu mnoHa ha kwanini mpendwa?mbona vipo poa hivi unakunywa mpaka stock inaisha na bado hujalewa
Nashukuru jirani, utanikuta Mwenge hapaKaribu mkuu
😁😁sijambo jirani shikamoo🤪🤪Pisi kali![]()
![]()
jirani hujambo
Ahaaa oky..kumbe mimi nakaa mwenge ee ..sawa kabisa nakupitia chapNashukuru jirani, utanikuta Mwenge hapa
Nasisitiza tena na tena 👊👊👊Nime quote, "kufikisha ujumbe kiungwana"
😀😀😀😂 nakusubiri jiraniAhaaa oky..kumbe mimi nakaa mwenge ee ..sawa kabisa nakupitia chap
Hebu jirani yangu tutambuane basi😁unapatikana kipande gani cha ujirani wetu?😀😀😀😂 nakusubiri jirani
Jirani hapa sio salama Sana, karibu PM tufungue code.Hebu jirani yangu tutambuane basi😁unapatikana kipande gani cha ujirani wetu?
Tumeagizwa kula kwa jasho Mkuu, tuendelee kupambana hadi mwisho 💪Work, mda woteView attachment 1596837
Asante sana..huko piemu si salama sana mkuu..Jirani hapa sio salama Sana, karibu PM tufungue code.
Nipitie ili tukapate moja moto moja baridi, si unajua weekend ndiyo inaisha hii
Sebureni ni salama zaidi kuliko nje, ingia ndani jirani🙈Asante sana..huko piemu si salama sana mkuu..
🥂
Hapana.asante.🥂Sebureni ni salama zaidi kuliko nje, ingia ndani jirani🙈
BOT