bablon6
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 630
- 568
Kushiba bhaana
Hivi uliwaza nini![]()
Hivi uliwaza nini![]()
Christchurch road...nilikuwa nakaa Kendrick road mbele kabla ya round about ya Basingstoke road na Whitley street. Loong time.
Si utaniChristchurch road...nilikuwa nakaa Kendrick road mbele kabla ya round about ya Basingstoke road na Whitley street. Loong time.
Ok safi sana. Duh nimemiss sana hako kamji na viwanja vyake. The Oracle river side Brannigans, Revolution,Ice bar bado zipo hizo? Mitaa ya station nilitumiwa picha sikupatambua jinsi walivyobadilisha.Si utani
Kendrick road inaaenda mpaka London road
Nipo RBH , hapo Uni huwa kuna department zinafanya research na RBH,
Huyu mnyama itakuwa umemchukua pale Coopers nyuma ya train station!😎
Huyu ni mnyama wa umeme mtupu
Ndio pamabadilika sana, wameongeza upya kwa sababu ya line mpya CrossRail.Ok safi sana. Duh nimemiss sana hako kamji na viwanja vyake. The Oracle river side Brannigans, Revolution,Ice bar bado zipo hizo? Mitaa ya station nilitumiwa picha sikupatambua jinsi walivyobadilisha.
Huyu mnyama itakuwa umemchukua pale Coopers nyuma ya train station!
M4 dakika 10-15 tu ushaingia junction 9 or 10!Mji wa Kusoma ni kikazi tu, hii ni from Heathrow
Nakaa Heathrow area, si unajua tena barabara zinaruhusu.
Safi Sana mkuu,
She looks adorable, hongeraHaka kamtu ni kasumbufu sana. Kakiona mdada anasukwa basi na kenyewe kanalilia kusukwa.
Unakapeleka kwenda kusukwa. Lakini hakakai chini kakatulia.
Kakimaliza kusukwa, kesho yake kanaanza kuzifumua nywele.
Hakajali umelipia kiasi gani ili kasukwe.
Ukijaribu kukaeleza, kanaanza kucheka.
Kashenzi sana haka kamtu.
View attachment 1596024
Nice pct