Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,988
Hebu acha masihara mdogo wangu.unasemaje eti??Ila mimi siwezi kulewa jamani
Hizi pose jamani 🙇♂️
Ohooooooo nakuona kabisa unapoteaHuwa natamani nijaribu siku moja nione namna watu wanavyolewa
Yaani inakuwaje kuwaje hadi mtu kabisa na akili zake analewa![]()
Asante jiraniHii moka nimeielewa
Wewe sasa![]()
![]()
Namsaidia
😆😆unataka kuuaMwacheni![]()
Toto la kizigua❤
Inashangaza sana, eti mtu analewa mpaka anajikojolea. Nilikunywa zile zenye jina lako chupa mbili zikakata maana kile kidude ni kitamu jamani and I was okay sasa sielewi nakwama wapi mieHuwa natamani nijaribu siku moja nione namna watu wanavyolewa
Yaani inakuwaje kuwaje hadi mtu kabisa na akili zake analewa![]()
Yes dearToto la kizigua![]()
Dont try it at home aloneInashangaza sana, eti mtu analewa mpaka anajikojolea. Nilikunywa zile zenye jina lako chupa mbili zikakata maana kile kidude ni kitamu jamani and I was okay sasa sielewi nakwama wapi mie nasoma
Nataka siku nijaribu kulewa nikiwa home lakini nione kama nitafikia kwa hawa wanaoitwa walevi, nione kama akili zitaruka mpaka nijikojolee bila kujitambua
Sivipendi hivyo vi nzi vya kijani 😆😆Leo nilisogea nje ya mji kidogoView attachment 1596433View attachment 1596435View attachment 1596436
My Jakii ni Mlinzi toshaa 😆Dont try it at home alone
Nipe mwaliko ukihitaji kujaribu ili nikulinde
Guu la Taifa
Kwema sana nashkuru Mungu mkuu, sijui kwa upande wakoWahi....
Vipi kwema lakini mkuu
Inashangaza sana, eti mtu analewa mpaka anajikojolea. Nilikunywa zile zenye jina lako chupa mbili zikakata maana kile kidude ni kitamu jamani and I was okay sasa sielewi nakwama wapi mie
Nataka siku nijaribu kulewa nikiwa home lakini nione kama nitafikia kwa hawa wanaoitwa walevi, nione kama akili zitaruka mpaka nijikojolee bila kujitambua




Yaani kabisa akili inahama!!Hebu acha masihara mdogo wangu.unasemaje eti??
Kujaribu siweziDont try it mdogo wangu please