Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa natamani nijaribu siku moja nione namna watu wanavyolewa
Yaani inakuwaje kuwaje hadi mtu kabisa na akili zake analewa[emoji848]
Ukijaribu hiyo siku unatakiwa uwe chumbani umejifungia, maana pombe inakawaida ya kukufanya uwe mduwanzi sana, utapoteza network utafanya mambo makubwa ya kushangaza hasa kwa wageni
 
Leo nilisogea nje ya mji kidogo
20201010_214021.jpg
20201010_214455.jpg
20201010_221014.jpg
 
Back
Top Bottom