It's already a weekend.. for meView attachment 1588102
Off day
Mkuu kulala mapema hivi au una kipindiNna uhakika kinachobaki sasa hivi ni kwenda kulala tuuView attachment 1589332
Nimemuomba huyu dada anitengenezee kitu strong, balaa nnaliona kabla hata sijafika half
Nimemuomba huyu dada anitengenezee kitu strong, balaa nnaliona kabla hata sijafika half
Bro nkajua mna siku kadhaa za kupumzika

Bro nkajua mna siku kadhaa za kupumzika![]()
Ilo mixa mzee tafadhali ukalitendee haki kapige showNimemuomba huyu dada anitengenezee kitu strong, balaa nnaliona kabla hata sijafika half
Nikucheki J3 Ralph??Kupumzika muhimu sana mzee. Hii miezi imekuwa ina mikiki mno...
You like arts...nimeshafika hapo mara kadhaa, nipo hapa
Chochote nnaweza kuja kuunga mkono hapo?View attachment 1588583
Nikucheki J3 Ralph??
Ndio kakaHii ya Kesho kutwa ama?
Hamna moto hapoHapo ni Tanzanite Park...
Hapa jirani naona wamefungua hii break point ila kumepoa kiasi chake...
Nilijua patakuwa moto...