T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,091
AminaKwema sana nashkuru Mungu mkuu, sijui kwa upande wako
Kwa upande wangu niko njema/salama kabisa mkuu.
AminaKwema sana nashkuru Mungu mkuu, sijui kwa upande wako
Umesababisha njaa ianze kuniuma tena, please sema karibu nije nikujoin sup u😋Supu kama maji 😕😕 Ila chapoo ni👌👌View attachment 1596664
Ha ha kwanini mpendwa?mbona vipo poa hivi unakunywa mpaka stock inaisha na bado hujalewaSivipendi hivyo vi nzi vya kijani![]()
Sioni pili pili, hapo vibe la hiyo supu ni pili pili mwendokasi
, zile zinanukiaPole 🙂🙂 ila sikukaribishi maana hata sio nzuri...utaboreka bure 😏😏Umesababisha njaa ianze kuniuma tena, please sema karibu nije nikujoin sup u😋
Najua sema tatizo siziwezi ...dakika moja mafua haya hapa 🙈🙈Sioni pili pili, hapo vibe la hiyo supu ni pili pili mwendokasi, zile zinanukia
Poleee, mimi supu bila pili pili hata iwe nzuri vipi siiwezi, hiyo supu kama nguruko annex ivi, nimepatiaNajua sema tatizo siziwezi ...dakika moja mafua haya hapa![]()
Beautiful Africa..Somewhere in Tanzania
View attachment 1596663
Nyie wa 🍺🍺 pili pili haiwakatai 🙂Poleee, mimi supu bila pili pili hata iwe nzuri vipi siiwezi, hiyo supu kama nguruko annex ivi, nimepatia
Ni dhambi kukosoa zawadi ya kupewa na mwanamke, iwe nguo, msosi n.k (hata Kama kinachumvi nyingi, unatakiwa kusifia tu).Pole 🙂🙂 ila sikukaribishi maana hata sio nzuri...utaboreka bure 😏😏
They call it Africa, we call it home.Beautiful Africa..
😄😄 kwahiyo unaishia kulaani kimya kimya tu?? Inabidi kusema bana (japo kwa upole) ili siku nyingine kuwe na some sort of improvement .Ni dhambi kukosoa zawadi ya kupewa na mwanamke, iwe nguo, msosi n.k (hata Kama kinachumvi nyingi, unatakiwa kusifia tu).
Ngoja niuze Korosho zangu nikupeleke Malindi, Zanzibar ukaonje supu mwanana ya ngisi😋😋
Psychology yenu ni ngumu sana kuilewa, ndiyo maana inatulazimu ku pretend muda mwingine.😄😄 kwahiyo unaishia kulaani kimya kimya tu?? Inabidi kusema bana (japo kwa upole) ili siku nyingine kuwe na some sort of improvement .
Alaaah 🙂🙂... na msimu ndo huu right??
Ila mie fresh juice na kibua wa Lukmaan tu au chicken shawarma ndo 🤗🤗
Hivyo vingine 🤪🤪
Msijitese hivyo bana. Psychology or not....kuna umuhimu wa kuwa mkweli ili mtu uwe na furaha. Tafuta tu namna ya kufikisha ujumbe kiungwana 😏😏Psychology yenu ni ngumu sana kuilewa, ndiyo maana inatulazimu ku pretend muda mwingine.
Basi jiandae kwa mtoko wa kwenda kufurahia supu ya chaguo lako, si umesikia bei ya kilo 1 imefikia 3,000+ Tshs.?
Nime quote, "kufikisha ujumbe kiungwana"Msijitese hivyo bana. Psychology or not....kuna umuhimu wa kuwa mkweli ili mtu uwe na furaha. Tafuta tu namna ya kufikisha ujumbe kiungwana
Basi sawa![]()
Labda wewe uko tofauti madamMsijitese hivyo bana. Psychology or not....kuna umuhimu wa kuwa mkweli ili mtu uwe na furaha. Tafuta tu namna ya kufikisha ujumbe kiungwana 😏😏
Basi sawa 👊👊👊