Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,927
Kwahiyo unampoteza mwenzioNzuri sana hata km ni kichwa panzi haisumbui tamu ipow kama soda[emoji6]
Kwahiyo unampoteza mwenzioNzuri sana hata km ni kichwa panzi haisumbui tamu ipow kama soda[emoji6]
Usijirabu[emoji4]Ohoo
Nitajaribu
Umenipa hamasa rafiki[emoji4]
Glad to hear that.👊👊
Mbona niliambiwa haina kilevi[emoji134]Weeeeee hiyo ni kilevi usije acha kuhubiri Injili
Acha umbea kapambane na uzi wako kuleMbona niliambiwa haina kilevi[emoji134]
[emoji23][emoji23]Usijirabu[emoji4]
[emoji23][emoji23]Acha umbea kapambane na uzi wako kule
Sawa nakuja navyo mkuu, ngoja nipitie na ndimu kunogeshea kitoweo [emoji39][emoji39]Njoo nayo na ugali beba kabisa mkuu
Samaki kama samaki
Wahi....Sawa nakuja navyo mkuu, ngoja nipitie na ndimu kunogeshea kitoweo [emoji39][emoji39]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Onja uoneMbona niliambiwa haina kilevi[emoji134]
Safi mkuuUgali kama ugali
Vipi kwema lakini mkuu
Ila mimi siwezi kulewa jamani[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Onja uone
Kwa kua itajichuja yenye alcohol itaenda utumbo mwingine na maji kwingine[emoji1787][emoji1787] labdaIla mimi siwezi kulewa jamani
Inakuwaje mtu analewa?Kwa kua itajichuja yenye alcohol itaenda utumbo mwingine na maji kwingine[emoji1787][emoji1787] labda
Usinywe nisikilize mimiInakuwaje mtu analewa?
Mimi siwezi
Huwa natamani nijaribu siku moja nione namna watu wanavyolewaUsinywe nisikilize mimi