Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,390
Bag secured...😉
Asante kakaSorry karibu sista.
Mimi hunimisi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Makiseo hivi upo dada yangu? Miss you[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi hunimisi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hapo sawa. Hata wewe ulipotea kidogo. Natumaini kila kitu kiko sawa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata nikikumiss sikwambii, utajidai sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona nimepotea basi ukakumbuke kale ka namba kangu ka mpesa, maana bando linakuwa limekata.Hapo sawa. Hata wewe ulipotea kidogo. Natumaini kila kitu kiko sawa.
Makiseo ukimpata mwambie nina mzigo wenu mwingine mpya wa matunda[emoji16]
Hakuna shida. Leo leo hii utapata ya bando la miezi iliyobakia kwa mwaka huu, maembe yako na mengineyo. Na Makiseo mwambie naye kama anataka [emoji1787]Ukiona nimepotea basi ukakumbuke kale ka namba kangu ka mpesa, maana bando linakuwa limekata.
Halafu nimemiss maembe, fanya kampango basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndio maneno sasa.Hakuna shida. Leo leo hii utapata ya bando la miezi iliyobakia kwa mwaka huu, maembe yako na mengineyo. Na Makiseo mwambie naye kama anataka [emoji1787]
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hiyoooo Twende jino kwa jino Depal.View attachment 1526128
Duh!we jamaa hua una ndinga kali sana.
Blue jeans [emoji158] on point boss
Duh!
Sasa hiyo ni ndinga gani?
Blue jeans [emoji158] on point boss
Ni gari!sio gari hiyo mkuu ?