Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
Ni gari!
Ila umejuaje ni kali? Kwa kuangalia hiyo infotainment display?
kuna siku uliweka picha tena ya dashboard. niliikubali muonekano wake wa ndani Boss
Ni gari!
Ila umejuaje ni kali? Kwa kuangalia hiyo infotainment display?
Siyo aids tu kibano cha polisi kilichangia kumbuka alikuwa mtata sana na alikuwa siyo mwoga pia.huyu jamaa alikuwaga na wanawake wengi sana.Sadly he died of Aids
Siyo aids tu kibano cha polisi kilichangia kumbuka alikuwa mtata sana na alikuwa siyo mwoga pia.
Asee hongera mkuu mie nitakuja kufuga njiwa fulani niliwaona huku jfView attachment 1556899
nimemtoa nje kwa mara ya kwanza wakati nafanya usafi wa banda lake anashangaa tu
Asee hongera mkuu mie nitakuja kufuga njiwa fulani niliwaona huku jf
No, njiwa fulani kutoka nje ya nchi kuna Uzi niliwaona aseeahsante mkuu,ni wale njiwa pori au ? mimi kuanzia mwakani nitaongeza kanga na bata mzinga.sasa hivi nina sungura 6
Sio sungura huyu?View attachment 1556899
nimemtoa nje kwa mara ya kwanza wakati nafanya usafi wa banda lake anashangaa tu
No, njiwa fulani kutoka nje ya nchi kuna Uzi niliwaona asee
Hao khanga hataenda porini kweli? Mbawa zikiota? Manake sijawahi ona wakiwa free
Sio sungura huyu?
Kasuku sio nyara ya serikali mkuu?oh sawa mkuu,ukitaka pia kasuku nenda kigoma wanauzwa.khanga wala hatoroki mkuu kuna majirani zangu huwa wanafuga yani wanaachia free kama kuku na jioni wanarudi vizuri tu ila tatizo wanataga mayai popote
Mie nilijua ni Sungura hiyo!!ni mwenyewe,kamezaliwa kama miezi 3 iliyopita
Kasuku sio nyara ya serikali mkuu?
Mie nilijua ni Sungura hiyo!!
Okay, ngoja mambo yawe poahapana mkuu,nina rafiki yangu pale Kigoma anawafuga toka mwaka 2013 aliwafuata Congo.kwanza kwenye mapori ya Tanzania sidhani kama wapo wale hutoka Congo
Mbona umekubali kuwa ni Simbilisi aseendio mkuu ni Sungura mdogo
Okay, ngoja mambo yawe poa
Okay mkuu, muda mwemasawa mkuu.wanauzwa kuanzia elfu 50 tu