Unatafuta uhalali wa pombe kidini1Timotheo 5:23 *Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara*
Aisee...
Ulikuwa unafanya statistical Road safety survey nini ? [emoji23][emoji23]Vumbi limenoga
View attachment 1551921
Nilikuwa naenda shambani 😄Ulikuwa unafanya statistical Road safety survey nini ? [emoji23][emoji23]
Kuvuna yale maharage eeh?Nilikuwa naenda shambani [emoji1]
Eti wakuu?![emoji16][emoji16]View attachment 1554751
Kazi wapiii...misele tu ya hapa na pale.Aisee...
Mlikuwa mnafanya kazi gani leo..?
Wooooop uchagan hukooh
Family [emoji178][emoji178].
Next time nialike nijongee meza takatifuMambo mazuri kula na ndugu yakoView attachment 1552417
Muone anapenda kuona wengine yeye sasa sura yake sijui ina dhahabu za raiza anaogopa kupigwa pangaaa[emoji2]Tupieni selfie hizo
U tyuuuh[emoji3590][emoji3590]Morning everyone View attachment 1555039