Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Mbona umekubali kuwa ni Simbilisi asee
duh,basi nilikosea mkuu.ni Sungura huyo
Mbona umekubali kuwa ni Simbilisi asee
Mimi nafuga hawa hapa [emoji116][emoji116]No, njiwa fulani kutoka nje ya nchi kuna Uzi niliwaona asee
Hao khanga hataenda porini kweli? Mbawa zikiota? Manake sijawahi ona wakiwa free
Hongera mkuuMimi nafuga hawa hapa [emoji116][emoji116]View attachment 1556977
Jirani next time uwe una nitag bhana acha mambo yako.[emoji732]View attachment 1526112
Ankaliiiii.............Ankali....
Inakuaje ilikupita hiyo picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ngoja nitaweka nyingineJirani next time uwe una nitag bhana acha mambo yako.
Jirani unapiga vitu hatari hatari, mbona umchoyo hivyo
Oooh hongera San, kwa kuwa na mfugo mzuri.ni mwenyewe,kamezaliwa kama miezi 3 iliyopita
Daaaah nimekuta manyoya, supu ishaisha, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mimi mwenyewe nashangaa imekuwaje jirani....ukiweka nitag aiseeInakuaje ilikupita hiyo picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ngoja nitaweka nyingine
Pole weeeeDaaaah nimekuta manyoya, supu ishaisha, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
😅😅leo nimeamuakuisapraizi minyoo bhana..kila siku uji hapana😅😅Jirani unapiga vitu hatari hatari, mbona umchoyo hivyo
Oooh hongera San, kwa kuwa na mfugo mzuri.