Nimependa ubora wa camera/simu iliyotumika kupiga hii picha
Ni wapi?Hapa Kama napajua hivi[emoji848]
Mambo vipi mkuu
Ha ha hapa dogo kanipigia ananiuliza unarudi saa ngapi, jibu lake nadhani hatutaonana week [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee, shati linainuka taratibu
Sitashiba hiki mie lolKaribuni #earlydinnerView attachment 1553341
Tuongeze na ugali kidogo? 🙂🙂Sitashiba hiki mie lol
KabisaaaahTuongeze na ugali kidogo? [emoji846][emoji846]
Dah!Pale unapotaka kufanya kitu cha kitofauti Ila unaishia kuonekana wa tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]My TZ[emoji23][emoji23]View attachment 1553608